MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI DAR AKIOMBA KURA...HIZI HAPA KAULI ZAKE
Friday, October 09, 2020
Habari picha. Shujaa wa Afrika ameunguruma ndani ya Jiji la Dar es Salaam. Yote aliyoyazungumza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Kwenye Mkutano wake Mkubwa sana wa Kampeni Uliofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa wa Mkapa Kwenye Safari ya Kunadi Sera, Ilani ya CCM na Kuomba Kura kwa Wananchi. #KuraKwaMagufuli2020
Social Plugin