HALIMA MDEE APOTEZA JIMBO LA KAWE.ASKOFU GWAJIMA NDIYO MBUNGE SASA
Friday, October 30, 2020
Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima ametangazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 194,833 akifuatiwa na Halima Mdee wa CHADEMA aliyepata kura 32,524.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin