HAYA NDIYO ALIYAZUNGUMZA JPM LEO KAWE WAKATI AKINADI SERA ZA CCM
Wednesday, October 14, 2020
Habari picha. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea Kunadi Sera na Ilani ya CCM Kwenye Mkutano wake wa Mwisho Mkoa wa Dar es Salaam Kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe. Haya ndiyo Aliyoyaongea Kwenye Mkutano huo wa Kufungua Awamu ya 6 na ya mwisho ya Kampeni za CCM.
#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin