JAMES MBATIA AANGUSHWA UBUNGE VUNJO, KIMEI WA CCM ASHINDA
Friday, October 30, 2020
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Vunjo amemtangazaDkt. Charles Kimei wa Chama cha Mapinduzi-CCM kuwa mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo baada ya kupata kura40,170 – Grace Kiwelu wa CHADEMA amepata kura 8,675, James Mbatia wa NCCR amepata kura 4, 949 na Agustino Mrema kutoka TLP kura 606
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin