JOHN HECHE AANGUSHWA....MWITA WAITARA ASHINDA UBUNGE TARIME VIJIJINI
Thursday, October 29, 2020
Mwita Waitara CCM ameshinda ubunge Jimbo la Tarime Vijijini kwa kupata kura 35,758 dhidi ya mpinzani wake Heche John aliyepata kura 18,757
Msimamizi wa uchaguzi amemtangaza Waitara kushinda kwa asilimia 95 dhidi ya mpinzani wake Heche aliyepata asilimia 10
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin