JPM AFANYA MKUTANO MKUBWA BOMANG'OMBE... ASEMA 'MAHUDHURIO YA LEO YAMEDHIHIRISHA KWAMBA MNA JAMBO LENU"
Thursday, October 22, 2020
Haya ndiyo aliyoyaongea Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Kwenye Viwanja Vya Bomang'ombe, Hai Mkoani Kilimanjaro. Hai wanasema ubabaishaji kwisha, Sasa wanaenda na Wagombea wote wa CCM.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin