Haya ndiyo aliyoyaongea Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Kwenye Viwanja Vya Bomang'ombe, Hai Mkoani Kilimanjaro. Hai wanasema ubabaishaji kwisha, Sasa wanaenda na Wagombea wote wa CCM.
#KuraKwaMagufuli2020
Social Plugin