Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JPM : KWA HESHIMA NA UNYENYEKEVU MKUBWA NINAOMBA KURA YAKO YA NDIYO


Ewe Mtanzania mwenzangu, Tanzania inahitaji kiongozi Mzalendo, Mchapakazi na Mwenye maono na nchi yetu. Tarehe 28/10/2020 twende tukatoe Kura za ndiyo za Kutosha kwa Dkt John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania pamoja na Wabunge na Madiwani wote wa CCM ili tuendelee kulijenga Taifa letu.

#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com