JPM KESHO KUUNGURUMA BAGAMOYO PWANI AKIENDELEA KUNADI SERA ZA CCM NA KUOMBA KURA
Sunday, October 18, 2020
Pwani nakuita mara tatu. Siku ya Oktoba 19, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataunguruma Mkoani Pwani pale Wilaya ya Bagamoyo. Ni Mwendelezo wa Kunadi Sera na Ilani ya CCM Kila kona ya Tanzania.
Bagamoyo amefika sasa, asiwepo wa Kukosa wala wa Kusimuliwa.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin