MAMA SAMIA SULUHU AENDELEA KUCHANJA MBUGA KUMUOMBEA KURA JPM...YALIYOJIRI LEO RUKWA HAYA HAPA
Saturday, October 10, 2020
Kutoka Rukwa. Yaliyojiri kwenye Mwendelezo wa Kampeni za Kunadi Sera za CCM, Kunadi Ilani na Kuomba Kura kwa Wananchi Kwenye Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan wa Wilaya ya Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa. Mama anaendelea Kuchanja Mbuga kuongea na Watanzania na Kumuombea Kura Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli.#KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin