MGOMBEA URAIS ZANZIBAR DK. MWINYI AENDELEA KUMWAGA SERA... HAYA NDIYO ALIYOYAZUNGUMZA LEO VIWANJA VYA SKULI YA KIWANI PEMBA
الأربعاء, أكتوبر 21, 2020
Aliyoyazungumza Mgombea Urais wa CCM kwa tiketi ya CCM Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi kwenye Mwendelezo wa siku za mwisho mwisho kumalizia kunadi Sera kwa Wananchi. Mkutano huo Mkubwa wa Kampeni umefanyika Viwanja Vya Skuli ya Kiwani, Pemba. Wazanzibar wamekubaliana na hawadanganyiki wala kubabaishwa na mtu yeyote yule, Kura Zote ni kwa CCM tu kwa Urais na ngazi za Uwakilishi zote.
#YajayoniNeematupu
#Mwinyi2020
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin