Picha : YANAYOJIRI KWENYE VIWANJA VYA BOMA - HAI MKUTANO WA KAMPENI WA JPM
Thursday, October 22, 2020
Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Boma, Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ambako Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli atafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni muda mfupi ujao. Hai wanasema walikosea sana na Sasa wamejifunza na hawataki tena kufanya Makosa. Watatoa kura Zote Kwa CCM kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin