Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Boma, Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ambako Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli atafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni muda mfupi ujao. Hai wanasema walikosea sana na Sasa wamejifunza na hawataki tena kufanya Makosa. Watatoa kura Zote Kwa CCM kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
#KuraKwaMagufuli2020
Social Plugin