Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Ndugu Abdulrahman Kinana baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha katika mkutano wake wa kampeni leo Ijumaa Oktoba 23, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa wakati akimnadi mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha katika mkutano wake wa kampeni leo Ijumaa Oktoba 23, 2020
Sehemu ya maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kumsikiliza mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa Oktoba 23, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kumsikiliza katika mkutano wake wa kampeni leo Ijumaa Oktoba 23, 2020

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wastaafu waliokuwa miongoni mwa maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wake wa kampeni leo Ijumaa Oktoba 23, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali waliokuwa miongoni mwa maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wake wa kampeni leo Ijumaa Oktoba 23, 2020
Social Plugin