MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA UWANJA WA JAMHURI DODOMA UTAKAOTUMIKA KWA AJILI YA UAPISHO WA RAIS WA TANZANIA
Wednesday, November 04, 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, wakati akiwasili kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma leo Novemba 4, 2020, kukagua maandalizi ya uwanja huo utakaotumika kwa ajili ya uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika kesho Novemba 5, 2020.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin