Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI ALIVYOONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

 


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jana  tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jana tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com