RAIS MAGUFULI AMTEUA PROF. ADELARDUS KILANGI KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Friday, November 06, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. John Magufuli amemteua Prof. Adelardius Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali .
Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imesema uteuzi wa Prof. Kilangi unaanza tarehe 05,Novemba,2020. Prof. Kilangi ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada yakipindi cha kwanza kumalizika jana tarehe tano novemba 2020.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin