Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

EASTL YANOGESHA MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI...DIAMOND ROCK & HANSON'S CHOICE ZATAMBA

Wafanyakazi wa Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) wakionesha vinywaji.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson's Choice imeshiriki katika Maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga katika eneo la Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.

Kampuni ya Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited imetumia fursa ya Maonesho hayo kuonesha bidhaa inazozizalisha vikiwemo vinywaji vilivyojizolea umaarufu Hanson's Choice na Diamond Rock.

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Prof. Idris Kakula amejionea vinywaji hivyo wakati akifunga maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini yaliyoongozwa na kauli mbiu ya ‘Biashara na madini ni chachu ya maendeleo Shinyanga’ leo Jumanne Desemba 1,2020.
Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Prof. Idris Kakula akiangalia vinywaji  vinavyozalishwa na Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited kwenye  maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini yaliyoongozwa na kauli mbiu ya ‘Biashara na madini ni chachu ya maendeleo Shinyanga’ leo Jumanne Desemba 1,2020.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson's Choice, Jackson David akimuonesha Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Prof. Idris Kakula vinywaji  vinavyozalishwa na Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited. 
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Prof. Idris Kakula akiondoka katika banda la Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited
Muonekano wa vinywaji vinanvyozalishwa katika Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited

Wafanyakazi wa Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited wakionesha vinywaji
Wafanyakazi wa Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited wakionesha vinywaji

SOMA PIA HIZI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com