Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Shukrani Manya kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Desemba 2020.

Naibu Waziri wa Madini Profesa Shukrani Manya akila kiapo cha Maadili kwa viongozi wa Umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa Madini Profesa Shukrani Manya katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Desemba 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Madini Profesa Shukrani Manya mara baada ya kumuapisha katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Waziri wa Madini Doto Biteko, Naibu Waziri wa Madini Profesa Shukrani Manya pamoja na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma Latifa Mansour (wakwanza kushoto)PICHA NA IKULU