Msanii machachari wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo kutoka Kahama mkoani Shinyanga ameachia ngoma mpya inaitwa 'Mawazo' . Video ya Mawazo imetengenezwa na Director maarufu Manwell.
Tazama Video hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin