Mmoja wa Walengwa wa TASAF katika kijiji cha Matembo, Iringa Vijijini (katikati) akiwa na baadhi ya Wajumbe kamati ya Uongozi wa TASAF Taifa na Wataalamu wakiwa mbele ya nyumba aliyoijenga kutokana na ruzuku anayopata kutoka serikalini kupitia TASAF.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa TASAF taifa wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wanaotoka kwenye kaya za walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika kijiji cha Matembo halmashauri ya wilaya ya Iiringa Vijijini.
Picha
ya juu na chini baadhi ya Wajumbe ya Kamati ya Uongozi wa TASAF taifa wakikagua Shamba la miti na matunda
aina ya Miparachichi ambayo imepandwa na Walengwa wa TASAF kupitia utaratibu wa
Ajira ya Muda katika kijiji cha Ludilo
wilayani Mufindi mkoani Iringa.
Social Plugin