KAMPUNI YA NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI YA MTANZANIA, RAI, BINGWA NA DIMBA
Friday, December 04, 2020
Kampuni ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo leo Ijumaa Desemba 3, 2020 jijini Dar es Salaam, mhariri mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu Desemba 7, 2020.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin