Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : DUKA KUBWA LA UREMBO NA VIPODOZI 'STEDOM HOUSE OF BEAUTY' LAZINDULIWA RASMI SHINYANGA

Duka kubwa la Urembo na Vipodozi maarufu kwa jina la Stedom House of Beauty limezinduliwa rasmi Mjini Shinyanga likiwa limesheheni bidhaa mbalimbali za urembo na vipodozi kwa ajili ya wanawake, wanaume na watoto.

Duka hilo limezinduliwa rasmi leo Jumamosi Desemba 12,2020 na kuhudhuriwa na wadau wa urembo na vipodozi Mjini Shinyanga ambapo mbali na kununua bidhaa pia  wamegonga cheers wakinywa vinywaji mbalimbali kufurahia uzinduzi huo.

 Akizungumza wakati wa uzinduzi huo,Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo  amewakaribisha wakazi wa Shinyanga na maeneo jirani kufika katika duka hilo kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya bidhaa za urembo na vipodozi vyenye ubora wa hali ya juu na kwa bei rahisi kabisa.

"Tupo Shinyanga mjini maeneo ya Ngozonane sokoni.... ukiwa unatoka Fire kama unaelekea Mahakama ya Mwanzo kulia utaona bango letu limeandikwa STEDOM HOUSE OF BEAUTY  na mikoani mingine tunatuma kwa haraka na uaminifu mkubwa, au piga simu namba 0763635733 kwa mawasiliano zaidi. Karibuni",amesema Stella.

“Stedom House of Beauty tunauza bidhaa za urembo kwa wanawake, wanaume na watoto. Karibuni sana wateja wetu hakika hapa mtapata bidhaa ambazo kwenye maduka mengine hazipo, tena tunauza kwa bei nafuu kabisa”,amesema Stella.

Amezitaja bidhaa zinazopatikana Stedom House of Beauty kuwa ni weaving na wigs Original na za kawaida, Lotion nzuri za kike na za kiume bora kwa ngozi yako, Perfume, splash, spray na deodorant,saa hereni, cheni za shingoni na kiunoni, make up kit nzur iliyo combine foundation, prima, wanja, make up fix, contua, lipstick, powder, kope na vyote vihusuvyo make up na  Crown za maharusi.

"Pia Tuna mini crystal perfume matata kabisa ambazo ukipuliza haiishi haraka,vitu vya watoto kama pampaz za kawaida na zile za kufua, wipes, mafuta, Lotion, sabuni na wigs za watoto, pochi nzuri za Party, handbeg kubwa na ndogo, dawa za kuondoa sugu za vidole vya miguu na mikono, weusi kwapani na vitu vingi vizuri",ameeleza Stella.

TAZAMA HAPA  CHINI PICHA MATUKIO WAKATI WA UZINDUZI WA DUKA LA STEDOM HOUSE OF BEAUTY

Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020. Stella amewakaribisha wakazi wa Shinyanga na maeneo jirani kufika katika duka hilo kwa ajili ya kununua bidhaa za urembo na vipodozi vyenye ubora wa hali ya juu na kwa bei rahisi. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akigonga Cheers na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi waliohudhuria uzinduzi rasmi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020. 

Mdau Isaya akifungua Shampeni wakati wa uzinduzi rasmi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020. 
Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akipiga picha ya kumbukumbu na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi waliohudhuria uzinduzi rasmi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020.
Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020.
Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakipiga picha wakati wa uzinduzi rasmi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020.

Kushoto ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo na akimuonesha Lotion kwa ajili ya wanaume mmoja wa wateja wakati wa uzinduzi rasmi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020.
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akiwahudumia wateja wakati wa uzinduzi rasmi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020.
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akiwahudumia wateja wakati wa uzinduzi rasmi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020.
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi, Mama Meru na Toffee Uptown (kulia) wakiangalia bidhaa wakati wa uzinduzi rasmi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020.
Mama Meru akionesha bidhaa zinazopatikana katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty 
Mdau masuala ya Urembo na Vipodozi, Omega akiwa ameshikilia Wigi ndani ya Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty 
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakiwa katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty.
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakiwa katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty.
Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty leo Jumamosi Desemba 12,2020.
Mdau akionesha bidhaa aliyonunua katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty.
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakipata huduma katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakifurahia jambo wakipata huduma katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakiwa ndani ya Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakiwa ndani ya Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty
Mdau akiwa katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty.
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakiwa katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty.
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakiwa katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty.
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakiwa katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty.
Wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi wakiwa katika Duka la Urembo na Vipodozi Stedom House of Beauty.

 TAZAMA BIDHAA ZINAZOPATIKANA KATIKA DUKA LA STEDOM HOUSE OF BEAUTY

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com