Sehemu ya Watendaji wa Kata, Maafisa Kata wa Maendeleo ya Jamii, Afya, Kilimo n.k. kutoka Bukoba Manispaa wakifuatilia kwa umakini elimu ya Lishe
Sehemu ya Watendaji wa Kata, Maafisa Kata wa Maendeleo ya Jamii, Afya, Kilimo n.k. kutoka Bukoba Manispaa wakifuatilia kwa umakini elimu ya Lishe
Sehemu ya Watendaji wa Kata, Maafisa Kata wa Maendeleo ya Jamii, Afya, Kilimo n.k. kutoka Bukoba Manispaa wakifuatilia kwa umakini elimu ya LisheSehemu ya Watendaji wa Kata, Maafisa Kata wa Maendeleo ya Jamii, Afya, Kilimo n.k. kutoka Bukoba Manispaa wakifuatilia kwa umakini elimu ya LisheSehemu ya Watendaji wa Kata, Maafisa Kata wa Maendeleo ya Jamii, Afya, Kilimo n.k. kutoka Bukoba Manispaa wakifuatilia kwa umakini elimu ya LisheSehemu ya Watendaji wa Kata, Maafisa Kata wa Maendeleo ya Jamii, Afya, Kilimo n.k. kutoka Bukoba Manispaa wakifuatilia kwa umakini elimu ya Lishe
Shirika la Agri Thamani limetoa Elimu ya Lishe kwa
Watendaji wa Kata, Maafisa Kata wa Maendeleo ya Jamii, Afya, Kilimo n.k.
kutoka Bukoba Manispaa.
Akizungumza wakati wa utoaji wa elimu hiyo Mkurugenzi wa Shirika la Agri Thamani Mhe
Neema Lugangira (Mb) alisema kuwa masuala ya lishe ni mtambuka hivyo ni
muhimu kuhakikisha Viongozi na Watendaji wote wanaongea lugha moja.
Alisema kwa kufanya hivyo kama Taifa tunaweza kufikia malengo tuliyojiwekea ya
kutokomeza udumavu na utapiamlo kwa ujumla.
Aidha alisema watendaji na maafisa 57 wamenufaika na mafunzo haya na wameahidi kuibeba Ajenda ya Lishe Bora kwenye maeneo yao.
Mbunge
Lugangira alisisitiza kuwa hatua inayofuata ni kushuka chini kata moja
baada ya nyingine hadi kuhakikisha kwamba Lishe Bora inakuwa kwa
vitendo.