Video Mpya Kali Balaa: BHUDAGALA, YOBAT & SHIJA KADOKE - KELELE
Tuesday, January 26, 2021
Ninakualika kutazama Video Mpya kabisa mwaka 2021 kutoka kwa Msanii Yobat amemshirikisha Bhudagala Ng'wana Malonja na Shija Kadoke wimbo unaitwa Kelele.Video hii imetengenezwa Makula Studios..Ni ngoma yenye ujumbe safi unaozungumzia kiujumla maisha ya jamii inayotuzunguka.Tazama hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin