Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

🔴 KAMPUNI YA GVEN WEAR & GVENSALES AGENCY YATANGAZA NAFASI ZA KAZI


Kampuni ya Ushonaji Nguo na Mitindo Gven Wear ya Mkoani Shinyanga ikishirikiana na Gven Sales Agency  inatangaza nafasi 20 za kazi za masoko.

SIFA
👉Vijana wa kiume na kike wenye umri kati ya miaka 18 hadi 25
👉Waliomaliza elimu ya kidato cha nne
👉Wenye uelewa na wanaojitambua katika kufanya kazi za masoko

USAHILI
Vijana wenye sifa wafike katika Ofisi za Gven Wear zilizopo karibu na NMB Bank Manonga Mjini Shinyanga kwa ajili ya usahili kuanzia siku ya Jumatatu Januari 25 hadi Jumatano Januari 27,2021.

Kwa Mawasiliano zaidi piga simu 0767926671 

GVEN Wear :  Your look is our priority


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com