RAIS MAGUFULI AMPA RAIS WA ETHIOPIA KINYAGO CHA KIMAKONDE
Monday, January 25, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia kinyago cha Kimakonde cha "UJAMAA" mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde walipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 25, 2021.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin