Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE YA CHINA WANG YI CHATO GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi kabla ya kuanza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 08 Januari 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia utiaji Saini wa mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kutoka Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyangakm 341 kati ya Shirika la Reli Tanzania TRC kupitia Mkurugenzi wake Mkuu Masanja Kungu Kadogosa na Ubia wa Kampuni mbili za Kichina, China Civil Engineering Construction Corporation CCECC na China Railway Construction Corporation Limited CRCC kupitia Mtendaji Mkuu wa CCECC Zhang Junle katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 08 Januari 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi wakati akizungumza mara baada ya utiaji saini wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kutoka Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga km 341 kati ya Shirika la Reli Tanzania TRC na Ubia wa Kampuni mbili za Kichina, China Civil Engineering Construction Corporation CCECC na China Railway Construction Corporation Limited CRCC katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 08 Januari 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kutoka Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga km 341 kati ya Shirika la Reli Tanzania TRC na Ubia wa Kampuni mbili za Kichina, China Civil Engineering Construction Corporation CCECC na China Railway Construction Corporation Limited CRCC katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 08 Januari 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi mara baada ya kuzungumza na wageni mbalimbali katika hafla fupi ya utiaji saini wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kutoka Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga km 341 kati ya Shirika la Reli Tanzania TRC na Ubia wa Kampuni mbili za Kichina, China Civil Engineering Construction Corporation CCECC na China Railway Construction Corporation Limited CRCC. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, Balozi wa China Wang Ke pamoja na Ujumbe wa kutoka China, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi pamoja na Ujumbe wa Tanzania mara baada ya hafla fupi ya utiaji saini wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kutoka Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga km 341 kati ya Shirika la Reli Tanzania TRC na Ubia wa Kampuni mbili za Kichina, China Civil Engineering Construction Corporation CCECC na China Railway Construction Corporation Limited CRCC. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi wakati wakielekea kupata chakula cha mchana katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 08 Januari 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akinunua bidhaa mbalimbali za wajasiriamaliwadogowadogowamachinga na kuwapa zawadi Waandishi wa Habari waliokuwepo katika ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, Chato mkoani Geita. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo kuhusu zawadi ya Kinyago cha mti wa Mpingo kwaMjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi ili akiwasilishe kwa Rais wa China Xi Jinping mara baada ya Waziri huyo kumaliza ziara yake hapa nchini. 
***
Pamoja na ushirikiano uliopo kwenye sekta nyingine ikiwemo sekta ya miundombinu, uhusianobaina ya Tanzania na China umezidi kuimarika zaidi katika sekta ya TEHAMA. Kupitia kampuni ya Huawei, China imekuwa ikishirikiana na Tanzania katika kufanikishamiradi mbalimbali inayolenga kuboresha sekta ya TEHAMA sambamba na kukuza na kuibua vipaji vya sekta hiyo muhimu hapa nchini.

Matunda ya ushirikiano huo yalijidhihirisha hivi karibuni ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikabidhi tuzo kwa washindi washindano la TEHAMA duniani lililoandaliwa na kampuni ya Huawei ambapo wanafunzikutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walishika nafasi ya pili Ulimwenguni.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com