Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke baada ya kuweka la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Balozi wa China Nchini Mhe. Wang Ke akiweka la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu ya na Mafunzo Stadi (VETA) Bw. Peter Maduki baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.
Social Plugin