Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 likiwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani Geita.

Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 na kupewa heshima ya kumwagiwa maji Water Salute mara baada ya kuwasili wakati ikitokea jijini Dar es Salaam

Abiria wakishuka katika ndege hiyo ya ATCL aina ya Bombardier Q-400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Geita.
Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ikiondoka katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato kuelekea Mwanza mara baada ya uzinduzi wa Safari yake ya kwanza ya kutoka jijini Dar es Salaam.

Social Plugin