Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WATENGENEZAJI WA K VANT WATAMBULISHA BIDHAA MPYA 'ASILIA VODKA... YETU KIKWETU'




Kampuni ya Vinywaji ya Megabeverages Limited Arusha inayotengeneza kinywaji kilichojizolea umaarufu cha K VANT Spirit imetambulisha kinywaji kingine kipya kilichopewa jina la Asilia Vodka 200mls.

Kinywaji hicho kimetambulishwa kwenye Usiku wa Waandishi wa Waandishi wa Habari na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa uliofanyika Jijini Mwanza Februari 1,2021.

Akitambulisha bidhaa hiyo mpya 'Asilia Vodka 200mls', Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile amesema kinywaji hicho kina ladha ya pekee.

"Asilia Vodka ni kinywaji chenye ladha ya kipekee sana. #Asilia Vodka 200mls ..Yetu Kikwetu", amesema Betty.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile akitambulisha bidhaa mpya iitwayo Asilia Vodka 200mls kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Muonekano wa Asilia Vodka
Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile akitambulisha bidhaa mpya iitwayo Asilia Vodka 200mls kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile akitambulisha bidhaa mpya iitwayo Asilia Vodka 200mls kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile akifungua kinywaji cha Asilia Vodka 200mls kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile  akimpatia mdau Gsengo kinywaji cha Asilia Vodka 200mls kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile akiwapa wadau kinywaji cha Asilia Vodka 200mls kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile akiwapatia wadau kinywaji cha Asilia Vodka 200mls
Wawakilishi wa Kampuni ya Megabeverages Ltd Arusha wakiwa kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Megabeverages Ltd Arusha,akisambaza Asilia Vodka 200mls ukumbini kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile akiwahudumia wadau ukumbini kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Mkuu wa wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza Dk. Severine Lalika akimkabidhi cheti cha ushiriki Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Wadau wa habari Kanda ya Ziwa waliodhamini hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com