RAIS MAGUFULI AIPANDISHA HADHI MANISPAA YA ILALA KUWA JIJI LA DAR ES SALAAM
Wednesday, February 24, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameivunja rasmi Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam na kwa mamlaka aliyonayo ameipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kuanzia leo Jumatano Februari 24,2021
Social Plugin