Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Tamisemi
Selemani Jafo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare wakati
akivuta utepe kufungua Soko Kuu la Morogoro (Morogoro Central Market)
leo tarehe 11 Februari 2021 mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Soko Kuu la Morogoro pamoja na Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare, Mbunge wa Morogoro mjini Aziz Abood pamoja na viongozi wengine wa mkoa wa Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyabiashara
mbalimbali wa Soko Kuu la mkoa wa Morogoro ili kujua changamoto zao mara baada
ya kulifungua Soko hilo katika Manispaa ya Morogoro.

wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Tamisemi
Selemani Jafo kuhusu changamoto mbalimbali wanazokabiliananazo wafanyabiashara
hao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali wa Soko Kuu la mkoa wa Morogoro ili kujua changamoto zao mara baada ya kulifungua Soko hilo katika Manispaa ya Morogoro.

Soko Kuu la mkoa wa
Morogoro kama linavyoonekana mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Februari
2021.

2021. PICHA NA IKULU
Social Plugin