Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA DOMINIKA YA KWANZA YA KWARESIMA KANISA KATOLIKI PAROKIA YA MTAKATIFU PETRO OYSTRERBAY JIJINI DAR ES SALAAM



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Februari 21, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia waumini wenzie baada ya kushiriki katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Februari 21, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Padre Dkt. Alister MAkubi baada ya kushiriki katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Februari 21, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na mmoja wa wazee wa kanisa Jaji Mstaafu Thomas Mihayo katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Februari 21, 2021

……………………………………………………………


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com