Tazama Picha : MUONEKANO WA BARABARA YA SHEKILANGO KM 3.7 YENYE NJIA 4 JIJINI DAR ES SALAAM

Mandhari ya Barabara ya Shekilango km 3.7 iliyojengwa kwa njia 4, upana mita 22, njia za watembea kwa miguu, taa za Kisasa, mitaro ya maji na Bustani ili kupunguza msongamano wa magari kuanzia maungio ya barabara ya Morogoro na kupita mitaa yote ya Sinza mpaka maungio ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi mkoani Dar es Salaam ikiwa inapendeza mara baada ya ujenzi wake kukamilika. PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post