Tazama Picha : MUONEKANO MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA MOROCCO - MWENGE KM 4.5 NJIA 4
Wednesday, March 10, 2021
Maendeleo ya ujenzi
wa Barabara ya Morocco - Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road,
taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35,
mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya
Ali Hassan Mwinyi pamoja na maingilio ya barabara ya Kawawa na Shekilango mkoani
Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin