Video : NYANDA BETERY & MISOJI ISABUJO - TANZANIA INALIA
الجمعة, مارس 26, 2021
Wasanii wa nyimbo za asili Nyanda Bhetery na Misoji Isabujo kutoka Kahama mkoani Shinyanga wameomboleza kifo cha Aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa wimbo walioupa jina la Tanzania Inalia...Tazama Video hapa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin