Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video : AIC KAHAMA TOWN CHOIR (KTC) - MAGUFULI


Kwaya ya AIC Kahama Mjini 'AIC Kahama Town Choir - KTC) imeungana na Watanzania kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa wimbo maalumu unaoitwa Magufuli... Tazama Video Hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com