Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AMTEUA BALOZI KATANGA KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI KUCHUKUA NAFASI YA DK. BASHIRU


Balozi Hussein Othman Katanga
**
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi wa Tanzania nchini Japan, Hussein Yahaya Kattanga ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali na kushika nafasi ya aliyekuwa katibu mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.

Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu leo ameteua wabunge wapya watatu ambao ni Dkt. Bashiru Ally, Mbarouk Nassor Mbarouk na Balozi Liberata Mulamula.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com