SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA DK. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUTUMIA SIMU YAKO / COMPUTER YAKO HAPA
الأحد, مارس 21, 2021
Ofisi ya Rais - TAMISEMI imeandaa kitabu cha maombolezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. John Pombe Joseph Magufuli kwa njia ya mtandao ili kuuwezesha umma kusaini kitabu hicho.
Social Plugin