Picha : WANANCHI KATORO,BUSERESERE,CHATO GEITA WATANDIKA NGUO, KANGA MWILI WA MAGUFULI UKIWASILI NYUMBANI
الأربعاء, مارس 24, 2021
Wananchi wa Katoro Geita na Buseresere Chato wakiwa wamesimama barabarani huku wengine wakitandika kanga na nguo kama ishara ya Heshima ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa kuelekea Nyumbani kwake Chato leo tarehe 24 Machi 2021. Picha na Ikulu
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin