Meneja wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso akitia saini Kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021 katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga leo Jumatano Machi 24,2021. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Meneja wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso akitia saini Kitabu cha Kumbukumbu ya Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga leo Jumatano Machi 24,2021.
Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa
Social Plugin