RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt.John Pombe Magufuli,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo 19-3-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimfariji Mjane wa hayati aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Mama Janeth Magufuli alipofika Ikulu Jijini Dar es Salaam kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu.(Picha na Ikulu)
Social Plugin