Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza tokea kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Machi 21,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza tangu kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Machi 21,2021. Picha na Ikulu
Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa
Social Plugin