Mkutano wa Tatu wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaanza leo jijini Dodoma.
Pamoja na mambo.mengine, mkutano huo utajadili na kupitisha bajeti za wizara mbalimbali pamoja na bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021.
Mkutano huo unaanza katika kipindi hiki ambacho Taifa lipo kwenye siku 21 za maombolezo, kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli.
Social Plugin