DK. PHILIP MPANGO AAPISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA
Wednesday, March 31, 2021
Makamu wa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Philip Isdor Mpango akiapa kuwa Makamu wa Rais mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahimu Juma, leo Ikulu Chamwino jijini Dodoma.Uapisho huo umeshuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin