Wananchi wa Kinondoni Mkwajuni na Magomeni Morocco wakiwa
wamesimama barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa
katika barabara ya Kawawa kuelekea Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam kwa
ajili ya kuagwa na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam.
Wajasiriamali wa Mau wa Namanga mkoani Dar es Salaam
wakirusha maua kama ishara ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati
akipitishwa katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi mkoani Dar es Salaam.
Wananchi wa Kinondoni Mkwajuni na Magomeni Morocco wakiwa wamesimama barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa kuelekea Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam.
Wakazi wa Biafra Kinondoni wakimuaga aliyekuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe
Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa
Wakazi
wa Magomeni wakimuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika
Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika
barabara ya Kawawa
Wakazi
wa Kinondoni, Magomeni , Kigogo, Msimbazi Center na Karumewakiwa wamesimama
kando ya barabara kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa
katika barabara ya Kawawa mkoani Dar es Salaam.
Wakazi
wa Kinondoni, Magomeni , Kigogo, Msimbazi Center na Karume wakiwa wamesimama
kando ya barabara kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa
katika barabara ya Kawawa mkoani Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa
Social Plugin