Joseph, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa heshima zake za mwisho katika Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
Viongozi mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
Makamanda wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini
Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdullah akiongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
Sehemu ya ndugu wa karibu wa marehemu wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
PICHA NA IKULU
Social Plugin