Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Tazama Picha : MISA TAKATIFU YA KUAGA MWILI WA HAYATI DKT. MAGUFULI KATIKA UWANJA WA MAGUFULI CHATO - GEITA


Msafara wa viongozi wanaosindikiza mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukiingia katika uwanja wa Magufuli uliopo Chato mkoani Geita tayari kwa ajili ya ibada ya mazishi, huku viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan wakihudhuria. Picha na Ikulu

UPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja Tu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com