Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TMA YATOA MAFUNZO YA UTABIRI WA HALI YA HEWA NA TAFITI WAANDISHI WA HABARI


Ladslaus Chang'a Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti na Matumizi Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) akifungua semina ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari kuhusu taarifa mbalimbali za utabiri wa Hali ya hewa tafiti na matumizi ya taarifa hizo inayofanyika kwenye ukumbi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kibaha Mkoani Pwani.
Monica Mutoni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali katika semina ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari kuhusu taarifa mbalimbali za utabiri wa Hali ya hewa tafiti na matumizi ya taarifa hizo inayofanyika kwenye ukumbi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kibaha Mkoani Pwani.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mada katika semina hiyo kuhusu taarifa mbalimbali za utabiri wa Hali ya hewa tafiti na matumizi ya taarifa hizo inayofanyika kwenye ukumbi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kibaha Mkoani Pwani.
Kulia ni Joyce Makwata Mchambuzi wa Hali ya Hewa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) na Rose Senyagwa Mchambuzi wa hali ya hewa pia wakiwa katika seminahiyo kwa ajili ya kuwasilisha mada mbalimbali katika semina hiyo.
Abubakar Lungo Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Hali ya hewa kwa Jamii akiwasilisha mada kuhusu utoaji wa taarifa za utabiri wa msimu.
Joyce Makwata Mchambuzi wa Hali ya Hewa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) akifafanua mambo mbalimbali katika semina hiyo inayofanyika kwenye ukumbi wa TARI Kibaha mkoani Pwani.
Dk. Alfred Kondowe Mtaalam wa Hali ya Hewa na Msimamizi wa Utekelezaji wa Mradi wa WISER-2 (TMA) akielezea mafanikio ya mradi huo kwa waandishi wa habri wakati semina hiyo ikiendelea mjini Kibaha mkoani Pwani.
Bw. Chuki Sangalugembe Mtaalam wa Hali ya Hewa na Mkuu wa Kitengo cha Kuchakata Taarifa za Hali ya Hewa kwa kutumia mifumo ya Kompyuta (TMA)akiwafafanulia waandishi wa habri baadhi ya mambo hali ya hewa wakati semina hiyo ikiendelea mjini Kibaha mkoani Pwani.
Picha mbalimbali zikionesha baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mada katika semina hiyo kuhusu taarifa mbalimbali za utabiri wa Hali ya hewa tafiti na matumizi ya taarifa hizo inayofanyika kwenye ukumbi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kibaha Mkoani Pwani.

Picha ya pamoja

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com